Ulaya: Siku ya Kimataifa ya Bahari Nyeusi
Katika Th!nk About It, Adela anaandika kuhusu Siku ya Kimataifa ya Bahari Nyeusi. imeandikwa na Ndesanjo Macha · Imetafsiriwa na j nambiza tungaraza · Angalia ujumbe mama [en] · maoni (0) Tuma:...
View ArticleUturuki: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya AkinaMama Waandamanaji
Wafungwa wa kisiasa wa Kikurdi wamefikia siku yao ya 55 ya mgomo wa kula. Kuna mamia ya wafungwa wa kisiasa walio kwenye mgomo wa kula nchini Uturuki, na hii imesababisha maandamano mshikamano katika...
View ArticleKitu gani kinaifanya Brazil ifanane na Uturuki?
Nchi za Brazil na Uturuki zimetengwa na umbali wa maelfu ya kilomita, lakini zina kitu fulani cha kufanana: nchi zote mbili ziliingia mitaani kudai haki zao kama raia na sasa wanahangaika kujinasua na...
View ArticleErdogan Aapa “Kuifutilia Mbali” Twita Nchini Uturuki
Serikali ya Uturuki imeufunga mtandao wa Twita -sambamba na huduma ya Google iitwayo DNS, iliyokuwa inatumika kama njia ya mzunguko kufuatia kufungwa kwa mtandao wa twita. Inaonekana, hata hivyo, kuwa...
View ArticleWatumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki
Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35 000...
View ArticleUnapenda wimbo gani wa kulalia?
Mtoto mchanga akiwa amelala kwenye hospitali ya Southern Luzon, Ufilipino (2009). Picha na Oliver Belarga – CC BY-NC-ND 2.0 Hadithi hii ya April Peavy iliyoandikwa kwa ajili ya The World ilionekana kwa...
View Article
More Pages to Explore .....