Quantcast
Channel: Global Voices in Swahili » Uturuki
Browsing all 6 articles
Browse latest View live

Ulaya: Siku ya Kimataifa ya Bahari Nyeusi

Katika Th!nk About It, Adela anaandika kuhusu Siku ya Kimataifa ya Bahari Nyeusi. imeandikwa na Ndesanjo Macha · Imetafsiriwa na j nambiza tungaraza · Angalia ujumbe mama [en] · maoni (0) Tuma:...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uturuki: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya AkinaMama Waandamanaji

Wafungwa wa kisiasa wa Kikurdi wamefikia siku yao ya 55 ya mgomo wa kula. Kuna mamia ya wafungwa wa kisiasa walio kwenye mgomo wa kula nchini Uturuki, na hii imesababisha maandamano mshikamano katika...

View Article

Kitu gani kinaifanya Brazil ifanane na Uturuki?

Nchi za Brazil na Uturuki zimetengwa na umbali wa maelfu ya kilomita, lakini zina kitu fulani cha kufanana: nchi zote mbili ziliingia mitaani kudai haki zao kama raia na sasa wanahangaika kujinasua na...

View Article

Erdogan Aapa “Kuifutilia Mbali” Twita Nchini Uturuki

Serikali ya Uturuki imeufunga mtandao wa Twita -sambamba na huduma ya Google iitwayo DNS, iliyokuwa inatumika kama njia ya mzunguko kufuatia kufungwa kwa mtandao wa twita. Inaonekana, hata hivyo, kuwa...

View Article

Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki

Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35 000...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unapenda wimbo gani wa kulalia?

Mtoto mchanga akiwa amelala kwenye hospitali ya Southern Luzon, Ufilipino (2009). Picha na Oliver Belarga – CC BY-NC-ND 2.0 Hadithi hii ya April Peavy iliyoandikwa kwa ajili ya The World ilionekana kwa...

View Article
Browsing all 6 articles
Browse latest View live




Latest Images